GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa kwani Taifa Stars wamekuomba uwashangilie; unasikitika nini?Nitashangilia Timu za...
Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt
Sasa kwani Taifa Stars wamekuomba uwashangilie; unasikitika nini?
Daah huo umalayaa unashangiliaje timu zote izo chagua moja mkuu
Ni sawa useme Epl me nitashangilia liva chelsea,city ,man u,arsenal na spurs asa sijui unakuwa unafanya nn
Doh, umeichukia kweli timu ya taifa lakoNa kama Mwenyezi Mungu akikubali Maombi yangu naomba kwa Kuanzia tu tufungwe Goli 17 kwa 0 na Senegal, kisha tufungwe Goli 15 kwa 0 na Algeria kisha Mashemeji zetu Wakenya watusamehe na watuonee huruma watufunge Goli 7 kwa 0. Haya matokeo yakitokea hivi nitamshukuru mno Mungu na namuahidi nitakuwa namtolea sana Fungu lake la Kumi na Matoleo yake mengine ya Kiimani.
Shauri yako.Kocha Emanuel Amunike akifukuzwa pamoja na Mchezaji wake asiye na Faida Thomas Ulimwengu halafu nikiwaona Wachezaji kama akina Ajib, Mkude, Banda, Kichuya, Chilunda, Paul Godfrey Boksa na Salum Kimenya wameitwa Taifa Stars nitarudi Kushangilia upya.
Doh, umeichukia kweli timu ya taifa lako
Umeulïzwa?Nitashangilia Timu za...
Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt
Wangapi wanaungana na Mimi katika hili?
Tujadili.
boya sana wewe,kwahiyo hapo tayari ushaanzisha thread yako ......shubamittNitashangilia Timu za...
Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt
Wangapi wanaungana na Mimi katika hili?
Tujadili.
Utumwa nao shidaNitashangilia Timu za...
Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt
Wangapi wanaungana na Mimi katika hili?
Tujadili.
Leo saa nne usikuHivi friend match imeshachezwa au bado wakuu na kama bado ni saa ngapi inapigwa?
Yaani timu zote hizi halafu ukose kombe!!Nitashangilia Timu za...
Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt
Wangapi wanaungana na Mimi katika hili?
Tujadili.