Katika Timu nitakazozishangilia AFCON 2019 nasikitika Kusema kwamba Taifa Stars ya Tanzania haimo / haipo kabisa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nitashangilia Timu za...

Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt

Wangapi wanaungana na Mimi katika hili?

Tujadili.
 
Sasa kwani Taifa Stars wamekuomba uwashangilie; unasikitika nini?

Kocha Emanuel Amunike akifukuzwa pamoja na Mchezaji wake asiye na Faida Thomas Ulimwengu halafu nikiwaona Wachezaji kama akina Ajib, Mkude, Banda, Kichuya, Chilunda, Paul Godfrey Boksa na Salum Kimenya wameitwa Taifa Stars nitarudi Kushangilia upya.
 
Daah huo umalayaa unashangiliaje timu zote izo chagua moja mkuu

Na kama Mwenyezi Mungu akikubali Maombi yangu naomba kwa Kuanzia tu tufungwe Goli 17 kwa 0 na Senegal, kisha tufungwe Goli 15 kwa 0 na Algeria kisha Mashemeji zetu Wakenya watusamehe na watuonee huruma watufunge Goli 7 kwa 0. Haya matokeo yakitokea hivi nitamshukuru mno Mungu na namuahidi nitakuwa namtolea sana Fungu lake la Kumi na Matoleo yake mengine ya Kiimani.
 
Doh, umeichukia kweli timu ya taifa lako
 
Kocha Emanuel Amunike akifukuzwa pamoja na Mchezaji wake asiye na Faida Thomas Ulimwengu halafu nikiwaona Wachezaji kama akina Ajib, Mkude, Banda, Kichuya, Chilunda, Paul Godfrey Boksa na Salum Kimenya wameitwa Taifa Stars nitarudi Kushangilia upya.
Shauri yako.
 
libebe mwenyewe, m naenda na Taifa stars, mechi tatu zinanitosha
 
Hamkawii kuja humu na kuanza kumsifia kocha
 
Hivi friend match imeshachezwa au bado wakuu na kama bado ni saa ngapi inapigwa?
 
Nitashangilia Timu za...

Uganda
Kenya
Ghana
Ivory Coast
Senegal
Cameroon
Egypt

Wangapi wanaungana na Mimi katika hili?

Tujadili.
Yaani timu zote hizi halafu ukose kombe!!
 
Back
Top Bottom