Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo:
. Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai
. Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama
. Hapa na pale tu usafiri
. Kama si kasusi, kimoko chali..
.Wanapenda kuvaa vikaptura kuonyesha sehemu kubwa za maungo yao
. Pia visuluari vinavyobana kuonyesha figa kama ma-she
. Wakibanannishwa kidogo na watekaji si kelele hizo za kuomba msaada huku kamasi nje nje na hata wale unaowaomba msaada ni timu moja unategemea nini.
. Kujipulizia manukato kila mahali dume unatakiwa uwe na smell ya he goat bwana
Mengine jazia...........................