Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

Kabisa ila ndo hivyo tunapambana ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
Never ever quit my friend. Naijua sana hiyo kazi. Nimefanya sana kipindi naanza ku provide software subscription service, kufuatilia malipo toka kwa watu wasumbufu ambao bado wkat huo huo unawahitaji kwaajili ya biashara/kazi. Yan unakomaa nao wakulipe na wakat huo huo unakua makini kjkinda mahusiano for better future. Is a tricky business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ