Katika ulimwengu wa ujasusi, mapichapicha huanza mara tu mission inapokamilika

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
383
Reaction score
594
Katika ulimwengu wa ujasusi, mapichapicha huanza mara tu mission inapokamilika,

1. Utasikia mara Alitabiriwa na mganga Farou kwamba asingezidi miaka 77; wengine watasema, alipata cancer alipokuwa shambani kutokana na shughuli za kilimo alipokuwa akipuliza dawa

3. Wengine watatoka wakidai ni pressure kutokana na unene ulopitiliza, wengine hutoka wakidai ni aliyeachiwa KITI, wengine watasema ni wasioonekana ilimradi tu wasomaji wachanganyikiwe.

5.Wengine utasikia wakisema, alikuwa na tundu kwenye moyo, wengine wataandika, alivuta sumu alipokuwa akifungua file,wengine watasema ni majirani,wengine utasikia wakisema ni korona, wengine wataenda mbali zaidi na kusema ni uchawi, alitupiwa kipande.

Unadhani Kwa Nini baada ya matukio, wahusika huibua mapichapicha ?

WHEN COVER UP ENDS, CONSPIRACY BEGINS......
 
When cover up ends, conspiracy begins
 
Brand kama brand ancle , kutokea viunga vya mbayu wayu
Mwingine ni shehe,

Ukimfuatilia mara Yuko Mombasa mara somalia

Wakati unaendelea kutafakari, anaanzisha kundi, Kisha analiita mbwamwitu,

Ukimfuatilia mbwamwitu vyema, unakuta picha yake kwenye corridor za gizani,

Sasa unaishia kusema na kesho ni siku,

Mapichapicha tu
 
Kuna channel moja ya ujasusi utube, Kila ukimsikiza reporter Kwa umakini unagundua sauti yake inashabihiana sana na nguli mmoja wa habari ambaye pia ana damu ya mijusi,

Sasa Kwa kuwa Mambo haya hayanihusu,

Naomba niyaite pia mapicha picha
 
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa JPM Mzalendo,

Kuna mada moja nikaisoma kwenye gazeti la wakubwa wa pale pale,

Ile mada ilinishangaza kwamba eti,

Watu walilipwa ili wamlilie Magufuli ili ionekane anapendwa sana.

Nilipokumbuka machozi yalivyokuwa yakinitoka siku Ile,kwamba NAMI nililipwa ili nilie ,nikaishia kushangaa tu

Hayo nayo ni mapichapicha
 
Bunge lilipitisha Kwa pamoja tozo ili kujenga mashule na matundu ya vyoo

Hapo hapo nchi ikaenda kukopa pesa za uviko 19, na matumizi ya pesa za uviko yakaandikwa pia kuwa ni Kwa ajili ya kujenga madarasa na matundu ya vyoo.

Sasa jiulize, pesa za tozo zipo Kisha tukakopa pia Kwa course Ile Ile,

Si mapichapicha hayo?
 
Majambazi yaliripotiwa kumvamia Mhadhiri mmoja aliyekuwa kwenye tume ya katiba mpya,

Majambazi hayo yakamshambulia Kwa mapanga getini kwake na kumuua, alikuwa na pesa ,na hawakuwa na haja nazo wakaondoka.

Hadi Leo tunajiuliza ni majambazi kweli au ni mapichapicha!
 
Ni zaid ya mapichapicha tena camera zenyewe ni zile ziliitwa "YASHIKA" ndio maana kila kinachopigwa mkanda ukituputwa tunaokota negative tunachungulia
 
Siku anaanguka mzee wetu wa enzi za mwalimu majuzi wakati anahutubia,

Basi mtaani palikuwa na tetesi za mzee wa pwani kuugua,

Sasa sie wakulima tukabaki tunashangaana tu, sijui Nini kilikuwa kinaendelea background

Mapichapicha yakaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…