Katika ulimwengu wa ujasusi, mapichapicha huanza mara tu mission inapokamilika

Siku moja baada ya kufuatilia sana yanayoendelea ,

Kila nikichimbua mzizi wa tatizo Fulani, namkuta mzee mmoja,

Nikitizama wizi mwingine, nikifuata mchoro ,mwishoni namkuta yule yule mzee,

Nikapekua Hadi naomba 10 namkuta,

Sasa uzalendo ule wa kijamaa ukanifanya nivimbe Kwa hasira nikasema Sasa basi,liwalo na liwe,

Nikachukua picha yake nikaisemesha picha na Kila aina ya maneno ili limfike jambo,

Usiku ulipofika, mzee akanijia kwenye ulimwengu ule, alikuwa na utisho balaa, cha kushangaza alionekana ni kama mtu ambaye alishakufa zamani ilhali duniani tupo naye!

Nilipoamka nikasema acha waibe uzuru si mali yangu pekeangu,

Hayo nayo ni mapichapicha
 
Alionekana beach ''akila bata'', ila kwa sasa yasemekana hayupo nchini na hawajui alipo. Mapichapicha...
Kabla hajanyakuliwa,

Alivamiwa nyumbani na majambazi, hawakumkuta,wakaishia kuharibu vitu na kuacha msg kuwa tutarudi,

Baadae, walivamia nyumbani Kwa dadae pia hawakumkuta, na hawajawahi kukamatwa achana na hata kutafutwa tu.

Aliponyakuliwa, wakisema pia nao wanamtafuta wakati nduguze wanaodai kanyakuliwa.

Nani anajua report ya DNA ya damu iliyopatikana pale ni ya nani,

Na Kuna wengine humu wanaodai eti alikuwa na chip kwamba wanajua alipo,

Na wengine wanatwambia tayari hatunaye,

Ila mimi binafsi pamoja na roho na nafsi yangu, nimegoma kuamini kwamba hayupo, mtu huyu yupo tena mzima wa afya,

Sasa anatuzwa Kwa matumizi Gani mbeleni, mimi sijui

Mapichapicha tu!
 
Siku moja nikasema ngoja nimfuatilie asiyejulikana mmoja Nia nimkariri.

Akaja na gari moja tinted, ni kama walikuwa katika kunusa jambo Fulani,

Mahali pale palikuwa ni soko la kuuza samaki, dreva akashika breki, mlango ukafunguliwa, Sasa mimi nimeshanotice wale ni akina nani, nikakaza macho ili nimuone ashukaye ni nani, lengo ni kumkariri tu basi,

Gari iliposimama, mimi nikakaa angle nzuri ili akishuka nimuone, mlango ukafunguliwa kidogo, akausukuma, akatoa mguu, alivaa buti ya khaki ndefu, akawa kama anataka kushuka, nikakodoa macho yote kwamba nimemuweza Leo namuona, nikiwa naangalia bila hata kupepesa, mara mlango ukafungwa tena, gari ilikuwa silencer muda wote, nikasema hiki ni Nini! Gari ikasogea mbele kidogo, nani nikahama angle, kumbuka pale ni sokoni watu wengi.

Nikasogea mbele ,nikakaa kuangalia ikiwa atashuka, wakafika meter chache ya nilipokuwa, mlango ukafunguka tena ,mara hii akashuka ghafula chap akafunga mlango akaenda Kwa mama muuza samaki,

Kwani alinunua samaki Sasa? mara amulize swali, anashika mfukoni kama anatoa pesa, cha kushangaza hata hamuangalii muuza samaki, kichwa kinazunguka tu na macho huku na kule, mimi pia wakati huo sikutaka kuwaangalia, nikageuka kwingine,

Sasa alipogeuza shingo kumwangalia muuza samaki,si nikamwangalia, alivaa kofia, sura nikaiona tatizo ni kuiweka akilini, nilimwangalia zaidi ya mara tatu, Kila nikisave picha Kwa ubongo, inafutika, nilijaribu mara kadhaa bila mafanikio,

Wakati naendelea kujiuliza watu hawa wanatumia mbinu Gani kutokukaririka, nikaona ameshaingia kwanye gari haraka land cruiser tinted wakatembea.

Itoshe kusema mapichapicha ni mengi
 
Km hawaseviki basi walau ungeskrin shot
 
Back
Top Bottom