Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
- #201
Naamin utamalizaNilinunua kwa mkopo, sijui lini nitamaliza kulipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamin utamalizaNilinunua kwa mkopo, sijui lini nitamaliza kulipa
Sio kwamba mkoa ndo gharama sana sababu vifaa vingi vyatoka huku?Kiuhalisia huu ujenzi unaendana na sehem husika , kuna jamaa yangu anaishi shinyanga alinieleza kua alijenga nyumba yake tena kubwa tu kanionyesha kwenye picha kabisa , mpaka inaisha katumia 10 M tu ,
Mm nipo naendelea kujenga nimetumia zaid ya pesa hiyo na nyumba bado kabisa yaani
Ujenzi wa dar ni gharama sana ukilinganisha na mikoani aisee
Aise, hongera sanaAisee Mimi Namshukuru MUNGU nilifanikiwa kujenga nikiwa na miaka 28.
So umepafunga au kupangisha mkuu?28..29 nikahamia kwangu nikakaa miezi 4 nikarudi kupanga kati coz nilihisi nipo gerezani.
kampani ilikata, teki nikawa nalisikia tu.
ukichelewa hadi saa 3 usiku unakuta dalili za uporwaji getini.
nikaona isiwe shida nikarudi kati kwa wana.
kujenga sio furaha ya mwisho
Hongera mkuukwakweli at my 40s nina nyumba 3 na viwanja viwili. ni jambo la kumshukuru Mungu, na vyote vya halali hakuna kilichopatikana kwa hela haramu hata kimoja.
Daaah🤨Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Pole sana aise.So sadDaah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Alichokukuta nacho hakimhusu kwenye kugawana mali.Hapa nina 33 angalau nina jenga kanyumba ka 2,
Ila sasa nawaza nikioa, halafu mwanamke alete kwere ndio tutagawana au inakuwaje kisheria hii.
Maana hii sio sawa anikute navyo halafu tugawane
mliambiwa msioe hamusikiiDaah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Si kweli huko kitunda, buza viwanja Hadi m3 unapata wakati mkoani kuna sehemu bila m5 hupati kiwanjaNikumbushe tu;
thamani ya kiwanja Dar ni nyumba kadhaa mikoani,so wa mikoani hesabuni idadi ya nyumba zenu kwa staha kidogo[emoji38][emoji1787]
Asante kwa kumkumbusha ndugu mjumbe.
Si niliwaambia MSIOE lakini!Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Mimi nilianza mipango mwaka 2014 nikiwa na miaka 26 nikafanikiwa mwaka 2016 nikaamia kwangu karibu vijna wezangu kisemvule mkuranga viwanja bado nauza bei ya kawaida 1.5ml, adi 2ml, 1.8ml mchanga haununui piga 0683715151 karibu nawe utimize malengoTunatofautiana uwezo, nyenzo na vigezo, hivi hupelekea kukimbizana na muda katika hitaji la kumiliki nyumba zetu binafsi.
Lakini richa ya muda na umri, kila mtu atapambana hadi mwisho amiliki ngome yake.
So mwana jamii, katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?
Be honest.
Hapa nina 33 angalau nina jenga kanyumba ka 2,
Ila sasa nawaza nikioa, halafu mwanamke alete kwere ndio tutagawana au inakuwaje kisheria hii.
Maana hii sio sawa anikute navyo halafu tugawane
Usikute wengine ni wanafunzi wa chuo tu pangu patupu tia mchuzi. Humu unaweza kuta mwanao wa kidato cha pili anacomment kwamba naye amejenga ana nyumba 5.Hiyo ndio JF....wana JF wote matajiri
Sio kila sehemu DSM viwanja ni ghali hapana. Huko chamazi, Mbande, Chanika, Kigamboni, kibada nk mbona viwanja vya 5Miliions vimejaa kibao tu?Nikumbushe tu;
thamani ya kiwanja Dar ni nyumba kadhaa mikoani,so wa mikoani hesabuni idadi ya nyumba zenu kwa staha kidogo[emoji38][emoji1787]
Hongera sana,usichoke kupambana......nami nina uwanja kama wewe najipanga mwaka mpya unaokuja nami nianze ujenzi30 kwa mama,but now nina 33 naangaika na yangu sifanikiwi nimeishia uwanja tu