Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Sio kwamba mkoa ndo gharama sana sababu vifaa vingi vyatoka huku?
 
So umepafunga au kupangisha mkuu?
 
Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Daaah🤨
 
Pole sana aise.So sad
 
Hapa nina 33 angalau nina jenga kanyumba ka 2,
Ila sasa nawaza nikioa, halafu mwanamke alete kwere ndio tutagawana au inakuwaje kisheria hii.
Maana hii sio sawa anikute navyo halafu tugawane
 
Nikumbushe tu;
thamani ya kiwanja Dar ni nyumba kadhaa mikoani,so wa mikoani hesabuni idadi ya nyumba zenu kwa staha kidogo[emoji38][emoji1787]
Si kweli huko kitunda, buza viwanja Hadi m3 unapata wakati mkoani kuna sehemu bila m5 hupati kiwanja

Alafu material mkoani n bei ghali simenti mfukon n 22 dar 10 elfu bado wataka mkoani wasivimbe
 
Mimi nilianza mipango mwaka 2014 nikiwa na miaka 26 nikafanikiwa mwaka 2016 nikaamia kwangu karibu vijna wezangu kisemvule mkuranga viwanja bado nauza bei ya kawaida 1.5ml, adi 2ml, 1.8ml mchanga haununui piga 0683715151 karibu nawe utimize malengo
 
Hapa nina 33 angalau nina jenga kanyumba ka 2,
Ila sasa nawaza nikioa, halafu mwanamke alete kwere ndio tutagawana au inakuwaje kisheria hii.
Maana hii sio sawa anikute navyo halafu tugawane

September 21 ulikuwa unaishi kwa mama na unaomba ushauri unataka kuanza kujenga msingi wa kanyumba kadogo kwa kubangaiza ili uhame kwa mama.

Leo tarehe 8 November kajumba kakubangaiza kamekamilika na umeanza nyumba ya pili. Seriously??
 
Nikumbushe tu;
thamani ya kiwanja Dar ni nyumba kadhaa mikoani,so wa mikoani hesabuni idadi ya nyumba zenu kwa staha kidogo[emoji38][emoji1787]
Sio kila sehemu DSM viwanja ni ghali hapana. Huko chamazi, Mbande, Chanika, Kigamboni, kibada nk mbona viwanja vya 5Miliions vimejaa kibao tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…