Katika utafutaji wa rizki kuwa makini na watu, rafiki yangu kafa kikatili sana

Katika utafutaji wa rizki kuwa makini na watu, rafiki yangu kafa kikatili sana

Sasa daily unapiga mishindo kimchongo halafu wana unawaona mafala hawajui! Kitu kumbe wanajua Ato Z...wanakusepesha tu....R.I.P Mwamba.
 
Concept ya kifo huwa sijawai elewa kabisa kwa kweli ... ni dhahiri hatukupaswa kuogopa kufa.. ila ku ng'ang'ania kwenda uko ingali twajua uko kuna uzima wa milele na mateso hakuna .. kula kunywa ni bure ..


sasa sielewagi why unauzunika badala ya kua na wivu kawai siti


ila anyway "life is meaningless" ... Live while You can




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom