Concept ya kifo huwa sijawai elewa kabisa kwa kweli ... ni dhahiri hatukupaswa kuogopa kufa.. ila ku ng'ang'ania kwenda uko ingali twajua uko kuna uzima wa milele na mateso hakuna .. kula kunywa ni bure ..
sasa sielewagi why unauzunika badala ya kua na wivu kawai siti
ila anyway "life is meaningless" ... Live while You can