Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Hii mechi ilikuwa ya Mdhamiru, wale jamaa huwa hawachoki.Ila hawa makamanda wanatumia ngufu,hapo kati ni risk kumuweka Mkude peke yake. kocha kuwa macho ikileta shida mtoe Chama mtie Mzamiru fasta
Leo umeshakuwa JKT ?!Jkt tuna jambo letu
Pia nimemkumbuka Fraga.Mzamiru ni muhimu kiungo hapo kitapwaya
Jkt tuna jambo letu
Eeeh. Sema jamaa yule ni wamuhimu sana.Fraga bado majerhi
Mimi pia nina hofu sana na katikati kwakweliIla hawa makamanda wanatumia ngufu,hapo kati ni risk kumuweka Mkude peke yake. kocha kuwa macho ikileta shida mtoe Chama mtie Mzamiru fasta