MBEGU YA BINADAMU
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 375
- 317
Walimfukuza kocha kwa sababu walifunga magoli mengi tofauti na malengo yao.Timu ya Taifa iko uwanjani.Leo anakula mtu 5 kuwafunga mdomo wale waliofukuza kocha kwasababu zisizoeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimfukuza kocha kwa sababu walifunga magoli mengi tofauti na malengo yao.Timu ya Taifa iko uwanjani.Leo anakula mtu 5 kuwafunga mdomo wale waliofukuza kocha kwasababu zisizoeleweka.
bila kashataPira biriani
Ha ha ha hAWalimfukuza kocha kwa sababu walifunga magoli mengi tofauti na malengo yao.
Tunateseka sana, Ila mambo yanaenda tu kwasababu tunaongoza.Kiwanja kinaboa sana...mpira unarukaruka kama Popcorn bana.
Ha ha haMaafande wasipokua makini watatendewa walichomtendea Idd Amini enzi izo
Wale ni mabondia,Hatupo kama wao, ngumi, kununa, mapanga, kufurahi hadi goli liingie
[emoji23]Kiwanja kinaboa sana...mpira unarukaruka kama Popcorn bana.
In JK voice.Vyura baridiiiiii
Nifundishe namna ya kucheka, JF[emoji23]
Asiyeweza kufunga magoli mengi.Yanga bado wanatafuta Kocha
Mkeka wako umeshatiki mkuu...mapema tu.Simba tunashinda si chini ya goal 2
Click quote then tafuta emoji ya kucheka kma hiyo, click then send. Halfu waachie ModeratorsNifundishe namna ya kucheka, JF
[emoji23][emoji1787]Yanga naona wameanza kushuka ngazi pasipo kusurutishwa. Namba tatu inawahusu
Luis na Bwalya wanashindwa kutelezaKiwanja kinaboa sana...mpira unarukaruka kama Popcorn bana.