Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Kumbe ndo mana uto wamefukuza kocha, hili pila sio la nchi hiiš¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Bwalya ni fala sana
Kabisa yaniLuis na Bwalya wanashindwa kuteleza
Kocha atamtoa.Kagere ana hatrick hapa
Kwa pira hili Yanga wanaweza kumtimua kocha wanayemfikiria kumpa mikobaHuu mpira naopigwa hapa sio wa nchi hii.
Bila Halua
Habha h, bila shaka ni tusi LA kivumishi.Huyo dogo anajua ase
Kwa pira hili Yanga wanaweza kumtimua kocha wanayemfikiria kumpa mikobaHuu mpira naopigwa hapa sio wa nchi hii.
Bila Halua
Huyu Bwalya ni fala sana. Yeye mmoja ni sawa na Yanga nzima manina
Ball control yake si ya kitoto naona gari limeanza kuwaka....I can see another Chama coming.Huyu Bwalya ni fala sana. Yeye mmoja ni sawa na Yanga nzima manina
Pia umemkosea, hyu Bwalya nisawa na viungo timu zote za ligi kuu, isipokuwa Chama.Hujamtendea Haki Bwalya kumfanya ni sawa na Yanga! Huyu ni Mkubwa kuliko Yanga Nzima mpaka Washabiki wake na GSM.