Katika Uwanja wa Jamhuri wa Jijini Dodoma Simba imeichapa JKT Tanzania Mabao 4 kwa 0

FB_IMG_1601824792654.jpg
 
Mm ushabiki sipendi sana japo naipenda yanga Ila ukweli usemwe tungeongezewa ata mwezi mmoja mbele kikosi chetu kielewane. Tukienda kichwa kichwa tarehe 18 tunaweza kufa nyingi. Simba inacheza mpira jamani. Nasasa hapo ulikuwa kwenye ule uwanja mbovu? Jiulize wangekutana Taifa issue ingekuwaje?
 
Ha ha ha, mkuu big up kwa kuwa muwazi, japo wana Yanga wenzio watakutukana.
 
Back
Top Bottom