Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #261
Sio wewe tu.Leo nimemuelewa
Rarry Bwalwa
Nigawie basi na Mimi.Ahsanteh[emoji881]
Hawawezileta, ulikuwa wapi ?! Tumekumisi mrhivi kwa mpira huu manyani wataleta team uwanjani tar 18? tena wakikumbuka na zile 4 mood inakata kabisa
imechukuwa dakika 3 kumshusha nyani juu ya mtihivi kwa mpira huu manyani wataleta team uwanjani tar 18? tena wakikumbuka na zile 4 mood inakata kabisa
Ha ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunasubiri Tuwanunue na Manyani ya Jangwani, tumeshaandaa Zoo ya kuja kuyaweka angalau Yale matunda madala ya Vitumbua.
Huyu Dilunga asipoangalia atakula bench sana
Unajua Mara nyingi timu ikishinda mengine husahaulika.
Ila refa kuna mistakes kafanya.
Uyo ndio simba mkuu, walishamletea viungo kibao bado yupo tu.Hata mkude naye ajiangalie
[emoji23][emoji23][emoji23]Jitu linapapaswa 4 bila
Kabisa mkuuUyo ndio simba mkuu, walishamletea viungo kibao bado yupo tu.
Papric Mutesa Mafisango (R.i.p) aliwai kusema JM ni hazina kwa simba wamtunze.
Ha ha ha, mkuu big up kwa kuwa muwazi, japo wana Yanga wenzio watakutukana.Mm ushabiki sipendi sana japo naipenda yanga Ila ukweli usemwe tungeongezewa ata mwezi mmoja mbele kikosi chetu kielewane. Tukienda kichwa kichwa tarehe 18 tunaweza kufa nyingi. Simba inacheza mpira jamani. Nasasa hapo ulikuwa kwenye ule uwanja mbovu? Jiulize wangekutana Taifa issue ingekuwaje?