Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kweli kabisa, Ila Mizee Fc Wabishi sanaNimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Karibu, This is Simba Sister, Nice to see you
Jitu linapapaswa 4 bila
Ha ha ha ha,Bado ki1 mkeka utiki
Wataenda CAS wale jamaa.Simba tupewe tu kombe letu ili tufanye mambo mengine tu mana hakuna tena timu ya kucheza na Simba hapa bongo.
Asante sana.Wayaaaaaaaaaaaaa [emoji460]️
JKT 0 - 4 Simba SC
[emoji460]️ Kagere 03' Minutes
[emoji460]️ Mugalu 05' Minutes
[emoji460]️ Kagere 40' Minutes
[emoji460]️ Konde Boy 53' Minutes
Naaaam [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Simba tupewe tu kombe letu ili tufanye mambo mengine tu mana hakuna tena timu ya kucheza na Simba hapa bongo.
Niko na Jesca Manji....tehtehdaah unainjoi kuliko hata sisi wenye Simba.
Shunie, Eti Shadeeya yuko wapi ?!Naaaam [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]