Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Good Manula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nasikia wanaume wa Simba mkimsikia Jesca Manji aka Betina mnaingia mitini...tehtehtehOoooh nikajua upo na Barbara G.
Nimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
[emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kutupa Updates muasisi mwenzangu wa TANU.
Labda CHADEMA.Hahahaha nasikia wanaume wa Simba mkimsikia Jesca Manji aka Betina mnaingia mitini...tehtehteh
Raha sanaKuwa shabiki wa simba raha sanaaa [emoji1732]
Simbaaaa 🔥this isssssss
jkt nayo timu ama genge la wahuni, umekutana na timu ndogo mtibwa kilicho kukuta hadi leo huamini.Konde Boy mmoja ni sawa na Yanga nzima na mashabiki zao woote waingizwe uwanjani wote
Hata nyinyi mtauza hivyohivyoNimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Ha ha ha, unamcheka ?![emoji23][emoji23][emoji23]
magoli ma 2 ya mwanzo yanaonesha kipa alipokea muamala mapema sanaLeo M-PESA ya MO imesoma mapema
Msyuuuuuuuuuuuuu.jkt nayo timu ama genge la wahuni, umekutana na timu ndogo mtibwa kilicho kukuta hadi leo huamini.
sasa umekuaNimeamini kweli uchawi upo
Kuhonga huko, kwiyooooNyie mikia leo mmehonga nini? mbona mnacheza mpira sana.
MsyuuuuuuLeo M-PESA ya MO imesoma mapema