Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
- #201
Wewe sinindugu yake Pepekale ?!T.K master ndo mkongo na tar. 18 atawanyoosha labda mtembeze muamala kwa refa mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sinindugu yake Pepekale ?!T.K master ndo mkongo na tar. 18 atawanyoosha labda mtembeze muamala kwa refa mapema
kweli mkuu kama mlivyo mpa morrisoni mlungula mechi ya marudiano asicheze kama ya mwanzo maana mngeaibikaKiukweli Eymael anastahili Tunzo ya Heshima.
yanga ipi iliyo mpiga mtibwa uliye mshindwa ama
yanga akiona rangi nyekundu anapiga kama anaua mwizi muulize costalWewe sinindugu yake Pepekale ?!
Ha ha ha, mkuu kwani unateseka ?!yanga akiona rangi nyekundu anapiga kama anaua mwizi muulize costal
Asante,Konde Boy OFF
HD ON
Asante,HD in
Konde Boy out
mnaharibu mpira kwa rushwaHa ha ha, mkuu kwani unateseka ?!
baada ya miamala kwa morrison na ahadi kedekede kuogopa aibu. kumbuka mwaka jana nimechukua pointi 4 kwakoYanga ile Kundi la Manyani lililobakwa 4 na Simba.
Tarehe 18 tunatoa rushwa tenamnaharibu mpira kwa rushwa
Kwanin mkuu.?!Huyu mabena pumbavu sana
ndo tabia zenu ndo maana nje mnashindwa fanya la maana mnabaki wavizia wakija bongo mnatumia spray kupulizia vyumbani . wazee wa rungu sprayTarehe 18 tunatoa rushwa tena
ndo tabia zenu ndo maana nje mnashindwa fanya la maana mnabaki wavizia wakija bongo mnatumia spray kupulizia vyumbani . wazee wa rungu spray
Na kweli hili jambo lenu mlijipangaJkt tuna jambo letu
Haha ha ha, unaumia mwenyewe.ndo tabia zenu ndo maana nje mnashindwa fanya la maana mnabaki wavizia wakija bongo mnatumia spray kupulizia vyumbani . wazee wa rungu spray
Anajifariji huyu.Na kweli hili jambo lenu mlijipanga