Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Na wanaomsifia kuwa majuhaYaliyotoka kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ndiyo ilikuwa hitimisho kuwa mwendazake alikuwa kichaa kweli kweli
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.
Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
Lakini ulipasishwa na KICHAA Mkuu Magufuli mwenyewe.Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.
Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
Tukio moja tu ndilo linalowaleta pamoja kuandika katiba nzuri. Tukio hilo ni vita ya kiraia tuHiyo ndiyo inasukuma watu kudai katiba mpya.....
Mimi ninachojua ukitaka mabadiliko yoyote ...ni lazima hali iwembaya sana...mfano vita,magonjwa,serikali kutesa watu sana,mdororo wa uchumi ndo tunashtuka tunataka changes
CCM iko madarakani kwakuwa wananchi ni mazuzuSisiyemu kwenye wizi wa kula wako makini kuliko ata kuleta maendeleo kwa wananchi
Nileteeni gwajima
Nileteeeenj gwajima
Nileteeeeeni gwajima
Nileteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni gwajima.
Kwani huo uhayawani ulianza awamu ya 5 tu? Get to know a historyMimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.
Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
Unapozungumzia upinzani ni dhaifu jiulize upinzani ni nani Kati yangu na wewe, hapo laumu wananchi na wew ukiwemo maana msimamo wa wananchi ndiyo sababu ya hayo unayoyasema. Tujifunze kwa wenzetu upinzani ni mwongozo tuu vitendo ni vya wenye nchi.This is because we have worst,weak opposition
Tufanyaje ili tupate good, strong opposition?This is because we have worst,weak opposition
Kama mtu kuandika jina lake ni mtihani kwa nini mpinzani asitumie mwanya huo kumugua kwa kutumia kanuniKama mawazo yako ndo hayo hujitambui hii Hali inaweza kutokea Kwa Sababu upinzani wetu ni ovyo
Kama mtu kuandika jina lake ni mtihani kwa nini mpinzani asitumie mwanya huo kumugua kwa kutumia kanuni
Sent using Jamii Forums mobile app