Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

Hiyo ndiyo inasukuma watu kudai katiba mpya.....
Mimi ninachojua ukitaka mabadiliko yoyote ...ni lazima hali iwembaya sana...mfano vita,magonjwa,serikali kutesa watu sana,mdororo wa uchumi ndo tunashtuka tunataka changes
 
Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.

Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.

..ukichaa mkubwa zaidi ilikuwa ni wagombea wa ccm kupita bila kupingwa ktk majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar.

cc Jagina
 
Lakini ulipasishwa na KICHAA Mkuu Magufuli mwenyewe.

Ndiyo maana alitwaliwa kwenda jehanam baada ya siku 114 kutoka siku aliyoiba kura za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
 
Hiyo ndiyo inasukuma watu kudai katiba mpya.....
Mimi ninachojua ukitaka mabadiliko yoyote ...ni lazima hali iwembaya sana...mfano vita,magonjwa,serikali kutesa watu sana,mdororo wa uchumi ndo tunashtuka tunataka changes
Tukio moja tu ndilo linalowaleta pamoja kuandika katiba nzuri. Tukio hilo ni vita ya kiraia tu
 
Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.

Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
Kwani huo uhayawani ulianza awamu ya 5 tu? Get to know a history

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
This is because we have worst,weak opposition
Unapozungumzia upinzani ni dhaifu jiulize upinzani ni nani Kati yangu na wewe, hapo laumu wananchi na wew ukiwemo maana msimamo wa wananchi ndiyo sababu ya hayo unayoyasema. Tujifunze kwa wenzetu upinzani ni mwongozo tuu vitendo ni vya wenye nchi.
 
..ukichaa mkubwa zaidi ilikuwa ni wagombea wa ccm kupita bila kupingwa ktk majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar.

cc Jagina

Zanzibar Na Tanganyika hakujawahipo kufanyika uchaguzi Tokea kupata uhuru , Huo unaofanywa ni uchafuzi, ujambazi Na uhuni
 
Nilipiga kura saa 2:30 asubuhi tayari mabox yalikuwa yamejaa kura zangu nilizisokomeza kwa kalamu.
 
Kama mtu kuandika jina lake ni mtihani kwa nini mpinzani asitumie mwanya huo kumugua kwa kutumia kanuni

Sent using Jamii Forums mobile app

..tatizo kanuni zina-apply kwa wapinzani peke yao, Ccm wao hawaguswi.

..tangu mfumo wa vyama vingi uanze hakuna mgombea wa Ccm aliyewahi kuenguliwa, lakini wagombea wa upinzani wanaenguliwa kwa mamia.

..hivi unaamini wagombea wasioweza kuandika majina yao, na wanastahili kuenguliwa, wako vyama vya upinzani tu, na Ccm hakuna tatizo hilo kwa 100% in 6 elections?
 
Back
Top Bottom