Kpimo cha OGD, stasahau kamwe[emoji52][emoji52]
Cha kuonesha vidonda vya tumbo kwa kutumia camera ionyesheKifafanue tukijue sister.
Kinaingilia wapi? Mdomoni au ?Cha kuonesha vidonda vya tumbo kwa kutumia camera ionyeshe
NDan ya tumbo kuna hali gan..... Sasa hyo camera inpta kwa mdomo kuelekea tumboni IPO kwenye mpra/tube ndefu tu na nene. Kpmo kinafanywa
Uk iwa unaona.....
Opereshen ya kutumbua jipu la tygoKwenye maisha ya mwanadamu Kuna mapito ya kusisimua Sana Sasa Uzi huu naomba tutaje tabibu za hatari ambazo tumewahi kuziona kwa macho na zinazosisimua na kuogopesha. Naanza na nilizoona Mimi binafsi.
1.Sindano ya katikati ya jicho.
2.Sindano ya mgongo .
3. Sindano ya kwenye kisigino.
4. Kutahiriwa kwa kisu.
5.Oparation ya kuzaa kwa kisu.
6. Majeruhi wa kushonwa.
Endelea mdau hayo niliyoona yalinitisha .
Maswali mengine aiseee!Kinaingilia wapi? Mdomoni au ?
Cha kuonesha vidonda vya tumbo kwa kutumia camera ionyeshe
NDan ya tumbo kuna hali gan..... Sasa hyo camera inpta kwa mdomo kuelekea tumboni IPO kwenye mpra/tube ndefu tu na nene. Kpmo kinafanywa
Uk iwa unaona.....
Hii hua nasikia huwa inauma hatari7.Mpira wa kutolea maji kwapani ambao unaubeba nje.
8.Catheta inaingizwa kwenye uume au uke ukojoe kwa mpira.