Najaribu Kuwasiliana Na Guinness Tuone Namna Ya Kuiongeza Hiyo Thread Ya Mdau Katika Maajabu Ya Dunia.Kwa sheikh kutoka Masjid Al Noor unampa darasa Rais wa Marekani?
Hawa watu wameshindikana sasaWachina hawafai. Na T-shirt wametengeneza na wanawauzia wamarekani.
Mchawi akikuloga we furahia TU.
View attachment 3272351
Tafuta email yake mpe PDF la maanaKuna mengi anaweza kujifunza kutoka kwa masheikh kama sisi