Katika vitabu navyo visubiri kwa hamu ni Cha professor wa Kabudi

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
333
Reaction score
857
Huyu Mzee nilivutiwa nae sana kabla ya kuingia serikalini.

Nachotaka kujua ataandika nini kwenye kitabu chake jinsi alivyobadilika kutoka Kabudi yule mpaka huyu wa kutetema kama Mayele.
 
Wait a minute! Amekwambia anataka kuandika kitabu?!!!
 
Back
Top Bottom