Katika vitabu vya dini, sijawahi kusikia shetani anabadilika na kuwa malaika, ila malaika wanabadilka na kuwa mashetani

Katika vitabu vya dini, sijawahi kusikia shetani anabadilika na kuwa malaika, ila malaika wanabadilka na kuwa mashetani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Haya ndiyo ya Polepole. Huyu alitesa sana watu wakati wa Magufuli. Leo anataka tuamini kuwa shetani amebadilika kuwa malaika,

Awadanganywe wenzake CCM!

 
Msikilize tna hapa amavyokejeli watu......

hapa alikuwa kwenye enzi kuu, kuu kweli kweli!
 

Attachments

  • polepole enzi zake.mp4
    8.7 MB
Haya ndiyo ya Polepole. Huyu alitesa sana watu wakati wa Magufuli. Leo anataka tuamini kuwa shetani amebadilika kuwa malaika,

Awadanganywe mataahira wenzake CCM!
Huyu na yule mhutu Bashiru Ally ndiyo walikuwa washirika wakubwa wa yule dhalim wa chato wa kuinajisi demokrasia ya vyama vingi.
 
Yaan usemalo mkuu ndio ukweli ,CCM yyt ndio wale wale tu asikudanganye mtu ,hichi wanachokifanya ss n trend tu yakuwashika watangagiza akili uku nchi ikielekea kudidimia taratibu 😄😄😄
 
Huyu na yule mhutu Bashiru Ally ndiyo walikuwa washirika wakubwa wa yule dhalim wa chato wa kuinajisi demokrasia ya vyama vingi.
Uko sahihi mzee wa chato ndio kafikisha nchi ulipo na kuzalisha Hadi vyama vya wauwaji na machawa wakila kitu ndio .nchi imejaa viongozi viburi wasio ona miogo ya WATANZANIA inavuja damu 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom