Zaka na Sadaka si ombi ni lazimaKusaidia masikini wenye uhitaji na wagonjwa au kumpa mchungaji hela yangu kwa jina la zaka kipi kina thamani mkuu?
Unaweza kumsaidia mtoto yatima ada ya shule au pesa ya matibabu akatibiwa akapona au unaweza kupeleka kanisani hiyo pesa kwenye bahasha kwa jina la zaka alafu jioni mchungaji akaenda kaunta kuagiza kvant au akachukulia demu hiyo hela kipi cha kupitishia zaka hapo mkuu
Kusaidia masikini wenye uhitaji na wagonjwa au kumpa mchungaji hela yangu kwa jina la zaka kipi kina thamani mkuu?
Unaweza kumsaidia mtoto yatima ada ya shule au pesa ya matibabu akatibiwa akapona au unaweza kupeleka kanisani hiyo pesa kwenye bahasha kwa jina la zaka alafu jioni mchungaji akaenda kaunta kuagiza kvant au akachukulia demu hiyo hela kipi cha kupitishia zaka hapo mkuu
NAKAZIA
Saidia kweli wasiojiweza....barikiwa sanaKusaidia masikini wenye uhitaji na wagonjwa au kumpa mchungaji hela yangu kwa jina la zaka kipi kina thamani mkuu?
Unaweza kumsaidia mtoto yatima ada ya shule au pesa ya matibabu akatibiwa akapona au unaweza kupeleka kanisani hiyo pesa kwenye bahasha kwa jina la zaka alafu jioni mchungaji akaenda kaunta kuagiza kvant au akachukulia demu hiyo hela kipi cha kupitishia zaka hapo mkuu
Wagalatia hamna akili,zaka wenzenu wanawapa masikini,nyie mnawapa hao wachungaji matapeli
ile zaka muhimu zaidi ni kuwatembelea na kuwapatia waginjwa, wazee , yatima na wahitaji mbalimbali wanaotuzunguka,Kama wewe unajua kwamba mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA! Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na
Sasa hapo ubishi uko wapi jamani. Mi nimeuliza na kama huoni logic ya nilichouliza we ndio mbishi sasaUbishi wakati mwingine hauna faida mkuu...toa kanisani au msikitini, mengine achana nayo
KAULI ZA MATAPELI WA KISOSHOLOJIA.Kama wewe unajua kwamba mungu yupo! Hakikisha unatoa ZAKA! Fanya utani na masihara kwenye mambo yote lakini toa ZAKA! Babu yangu miaka Kumi iliyopita aliugua tb ambayo ilifanya apofuke macho! Hivyo akahudhuria kliniki na kuchoma sindano 120 ,lakini Bado hali yake haikubadilika ,naikumbuka siku Moja aliniita ni mwangalie mgongoni nikakuta anabanduka ngozi ! Akaniomba nianze kuitoa kwa kuibandua ,ilikuwa ni kazi ngumu ,unambundua ngozi mwili mzima na akiamka asubuhi ngozi unakuta ni kama jana hamkuibandua ,siku Moja yule babu alikata kauli ,watu wakakusanyika na kaburi likachimbwa ,alikuja askofu Mmoja hivi wa Moravian kutoka mission ya isoko Huko ileje mkoani songwe! Lakini kioja kilikuwa ni Kila wakiitoa maiti nje ili wakaizike inazinduka, anatikisa Mikono na kichwa ,wanaahirisha kuzika ,anaanza kupumua Tena kwa nguvu ,mnamrudisha ndani ,kaburi linafunikwa na mabati ,kesho mkiamka Tena mnakuta amekufa! Kila wakijiandaa waanze ibada ya mazishi anazinduka,baada ya wiki Moja nakumbuka walikuja watumishi wengi kumuombea Sana ,siku ya Saba alizinduka na kutamka maneno mazito kwamba nahitaji kutoa ZAKA, wakamwita askofu na mchungaji ,wakaja kumsikiliza ,walipoanza kumuuliza aliwajibu Tena kwamba nataka kutoa ZAKA, bibi yetu akaruhusu atolewe ng'ombe kama zaka ya babu yetu, na akaomba akabidhiwe kamba ya Huyo ng'ombe kwa mkono wake akaikabidhi kwa askofu na wachungaji waliokuwepo ,walipoipokea na kuiombea na yeye akakata roho na hatimae akazikwa salama! Hiki ni kisa kidogo lakini. Naamini sisi wengi hatuna elimu ya zaka ,mungu ndie akupae Kila kitu ,usione kama ni hasara kutoa zaka ,hata kama Kuna watu watakubeza lakini toa ZAKA,kwa kadiri ya kipato chako ,hata kama hujawahi kuingia kanisani wewe agiza zaka Yako iende kanisani ,au msikitini ama kwa mtumishi yeyote aliyekaribu Yako! Zaka inajitegemea na haihusiana na sadaka za kuwapa maskini na wahitaji Ile inaitwa ZAKA,
Kamwe usifanye mzaha kwenye kipengele Cha zaka ! Uwe machinga ,mpiga debe ,mchoma chips ,mama mboga ,mchimbaji ,mvuvi mkulima ,mwanasiasa ,shemasi ,Mzee kanisa ,doctor ,msanii vyovyote ulivyo hakikisha unamtolea mungu ZaKa Kila jumapili ,Kama huna muda wa kuhudhuria ibada nunua bahasha Yako ,Kila jumapili mwagize hata mtoto ataipeleka na itaombewa zaka Haina excuse ! Ni lazima !
AminUmeandika VYEMA sana mwanzoni katikati ila mwisho sasa unatuambia jumapili wakati wengine tunasali jumamosi, Wengine Ijumaa,Si ungemalizia tu kama ulivyoanza kwamba yeyote Kwa Imani yake atoe Zaka,Nakubaliana na wewe 100% kuwa Zaka ni jambo la muhimu sana kiimani na tulifanye liwe la kwanza kwani ni utii kwetu Kwa MUNGU wetu
Zaka ni kwaajiri ya walawi, agano la kale, with new covenant zaka hakuna, Yesu alisisitiza kutoa ulichonacho na kuwasaidia wenye uhitaji. Haya mambo ya zaka yalikuwa specific for isralitesTusichanganye baina ya ZAKA na SADAKA. Ninavyofahamu ni kwamba:-
ZAKA ni sehemu ya KUMI au 10% ya mapato yako. Mfano kama umepata shilingi 1000/= ZAKA unayotakiwa kutoa ni shilingi 100/=
Kwa upande wa sadaka ni kiasi chochote cha pesa au mali ambacho moyo wako umeamua kutoa kwa Mungu. Sadaka haina kiwango maalumu. Lakini kumbuka: usitoe Sadaka kilema au Sadaka dhaifu. Chochote upandacho ndicho utakuwa. Ukitoa kwa ukarimu utakuwa kwa ukarimu. Ukipanda haba (uchoyo), utavuna kadiri ulivyopanda. Mfano wa kupanda haba ni huu: una kipato cha shilingi 1,000,000/ kwa mwezi halafu ukienda ibadani unatoa shilingi 500/=
Naishia hapo kwa leo. Muwe na jioni njema.
Ooooh kumbe lkn kuna namna nyingi yakutoa zaka au utaratibu uko ivoZaka ni kwaajili ya hudumu ya mungu,ili injili isonge mbele.
Kumbuka Yesu alivyotoa mfano wa watu atakaosema " nilini ulituomba maji tukakunyima"? Yesu akawambia mnapo wasaidia watu mmenipa Mimi. Hivyo kutoa kwa wahitaji ni muhimu, pia kutoa kanisani au msikitini ni muhimu pia. Lakini wasiwatishe na kuwadanganya kuwa usipotoa mambo yako hayaendi sii kweli.Hatuangalii imetumikaje tunachoangalia ni nia yako mtoaji juu ya zaka hiyo,kumbuka kabal hujatoa inene yaliyo mema.
Wachungaji wanawatapeli mazuzu nyie,masikini watakula hayo makanisa!? Hospitali zenyewe gharama zake masikini 'na waumini hawaziweziIla wakijenga makanisa mazuri shule na hospital maanza kusema wanapendelewa na serikali,ficha ujinga wako.
Na masikini mnawapa nini nyie mazuzu? MnaWatajirisha hao matapeli ndo maana kila siku matapeli wapya wanafungua makanisa uchwaraZaka ni kwaajili ya hudumu ya mungu,ili injili isonge mbele.