Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 958
- 1,807
Kwakua deni la Taifa Bado ni himilivu, mama aendele kukopa mpaka Kila mtanzania adaiwe milioni 10š¤£.
Katika vitu ambavyo mama ananikera ni kukopa kopa š” Hajui mikopo huleta umaskini hasa ikiwa inakopwa bila mpangilio maalum!?.
Ndani ya miaka 3 mama kakopa kuwazidi watangulizi wake, halafu tunaambiwa deni Bado ni Himilivu!??, Waje wakope na vichwa vyetu basi.
Hizi pesa za mama watu wametumbua wameingia mitini, unajiuliza hizi pesa zimetoka katika mfuko wake au ndo hizi hizi Kodi zetu za jasho na damu, au ndo hiyo mikopo inayokopwa Kila uchwao!?.
Mwenye shibe kweli hamjui mwenye njaa.