Katika vitu ninavyopata shida kuviamini ni utetezi wa mwanaume anapochelewa kurudi na utetezi wa viongozi wa CCM

Katika vitu ninavyopata shida kuviamini ni utetezi wa mwanaume anapochelewa kurudi na utetezi wa viongozi wa CCM

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwini Mollel amesema kwamba Corona kwa Tanzania imedhibitiwa, Serikali imetumia Bill. 28 kwaajili ya kununua vifaa vya Maabara kwaajili ya kupambana dhidi ya Corona.

"Ugonjwa huu wa Corona kwa kawaida hauonekani kwa macho, ili uthibitike una ugonjwa huu nilazima ukweli uupate kupitia Maabara na sio sehemu nyingine yoyoye,
Tatizo la kupumua lipo miaka yote kama magonjwa mengine" Dkt Mollel.
Leo kwenye#The Big AJENDA.
#StarTvUpdates

1615048575149.png
 
Bila.28!!! Hii nchi tunaonana mandezi sana, ngoja siku tuchapane wenyewe kwa wenyewe tutatia akili
 
Back
Top Bottom