Katika watu ambao siwaelewi ni Rais wa Uturuki, ni Ndumila kuwili hivi...

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
62eed5ec20302704733599b7.jpg

Istanbul, Turkey – Turkish President Recep Tayyip Erdogan will meet his Russian counterpart on Friday in Sochi, after brokering a grain shipment deal between Moscow and Kyiv and as a new Turkish military intervention in Syria remains a possibility.

The summit with Vladimir Putin comes in the same week that a ship carrying Ukraine grain was able to set sail, the first since the conflict began, under an agreement between the warring sides arranged by the United Nations and Ankara.

The Turkish leader’s international credentials have been bolstered by the agreement that resumes exports of Ukrainian and Russian agricultural products, easing the threat to global food security.

Erdogan’s trip – his eighth to Russia since the start of 2019 – follows a three-way meeting with Putin and Iranian President Ebrahim Raisi in Tehran last month.

According to Ankara, regional and global developments will be on the agenda, as well as bilateral ties.
 
Huyo Erdogan anajua Sana ku_balance maslahi ya Turkey kat ikati ya mabeberu. Kila move afanyayo Ni kwa maslahi ya Turkey kwa sababu anajua influence aliyonayo.
 
Turkey ni kama mrembo kwenye wakware wenye njaa(yupo kati ya madharibi na mashariki) pia rejea buffer zone yake syria ambayo inahitajika agreement na Russia ili iendelee ku exist plus vikundi vya uasi
 
Mwaka wa 10, Turkey mfumuko wa bei ni mkubwa sana (27%) huko, unemployment mwaka wa 10 mbaya sana, sasa hiyo balance mbona haimsaidii. Moja la taifa ambapo uchumi haukui kabisa kutokana na kukosa vichochea uchumi katika nchi yake( Maliasili za ndani).
 
Istanbul, Turkey – Turkish President Recep Tayyip Erdogan will meet his Russian counterpart on Friday in Sochi, after brokering a grain shipment deal between Moscow and Kyiv and as a new Turkish military intervention in Syria remains a possibility.

The summit with Vladimir Putin comes in the same week that a ship carrying Ukraine grain was able to set sail, the first since the conflict began, under an agreement between the warring sides arranged by the United Nations and Ankara.

The Turkish leader’s international credentials have been bolstered by the agreement that resumes exports of Ukrainian and Russian agricultural products, easing the threat to global food security.

Erdogan’s trip – his eighth to Russia since the start of 2019 – follows a three-way meeting with Putin and Iranian President Ebrahim Raisi in Tehran last month.

According to Ankara, regional and global developments will be on the agenda, as well as bilateral ties.
Mkuu waarabu siyo watu wazur huwa ni wanafk sana kwenye matatizo siyo Turkish tuu hata Israel ,jiulze mangap marekani kamfanyia Israeli ila hajatoa hata kauli kuhusu Ukraine wala China yaan kimya kama hayupo,ila akipata shida anamkimbilia marekani waarabu si watu ,mfano ni Osama,sadam ,gadaf,
 
Siasa ya NATO ,mashiriki ya Kati, Mashariki , Umeanza ifatilia Leo?

NATO kupitia mturuki Tajiri na Mafia na Kiongozi Dini Mwenye kuishi uhamishoni nchini Marekan aitwaye FETHULLA GULEN

Mwaka 2016 walifanya jarabio ya kumwondoa Edorgan madarakani kupitia Jeshi !!

Kituo Cha Kijeshi Cha Warusi kilichopo Syria na Majusi wake, waliweza kunasa Sauti Masaa machache kabla ya Jaribio hilo.

Wakakaa kimya , baadae Masaa machache
Wakamjuza Rais Edorgan, Edorgan akafanya mpango chap wa kuimairisha ulinzi wake na kuwaomba Wanajeshi .

NATO wakajua Edorgan Amekua, nao wakaona wawaishe mpango wa kumpindua yaan wasingoje ule muda walikua wameupanga.

KWA UFUPI, MRUSI ALIMUOKOA EDORGAN, NA SASA EDIRGAN ANALIPA FADHILA.
 
Huyo Erdogan anajua Sana ku_balance maslahi ya Turkey kat ikati ya mabeberu. Kila move afanyayo Ni kwa maslahi ya Turkey kwa sababu anajua influence aliyonayo.
Angeachana sasa na mpango wakutaka kujiunga EU
 
Ndio maana waliomba kujiunga na EU ,miaka 14 sasa imepita wamechuniwa ,masnich sana hawa jamaa
 
Nimejaribu kufuatilia ,nikaja kujua tunamlaumu huyu rais ,huyu rais ndiye aliyemshawishi Putin akaruhusu ngano ikasafirishwa ,pia ndiye anayeelewana na Putin kuliko maraisi wengine wa nchi za NATO ,kiujumla mkakat wake ni kutaka kumshawishi Putin amalize hii vita wakae wayaweke sawa ,
 
Siasa ya NATO ,mashiriki ya Kati, Mashariki , Umeanza ifatilia Leo?

NATO kupitia mturuki Tajiri na Mafia na Kiongozi Dini Mwenye kuishi uhamishoni nchini Marekan aitwaye FETHULLA GULEN

Mwaka 2016 walifanya jarabio ya kumwondoa Edorgan madarakani kupitia Jeshi !!

Kituo Cha Kijeshi Cha Warusi kilichopo Syria na Majusi wake, waliweza kunasa Sauti Masaa machache kabla ya Jaribio hilo.

Wakakaa kimya , baadae Masaa machache
Wakamjuza Rais Edorgan, Edorgan akafanya mpango chap wa kuimairisha ulinzi wake na kuwaomba Wanajeshi .

NATO wakajua Edorgan Amekua, nao wakaona wawaishe mpango wa kumpindua yaan wasingoje ule muda walikua wameupanga.

KWA UFUPI, MRUSI ALIMUOKOA EDORGAN, NA SASA EDIRGAN ANALIPA FADHILA.
Ile dili alicheza Erdogan mwenye kujiongezea madaraka na muda wa kukaa madarakan kunatokana na hali ya kisiasa na kiuchumi inavyo pitia Turkey
 
Mkuu waarabu siyo watu wazur huwa ni wanafk sana kwenye matatizo siyo Turkish tuu hata Israel ,jiulze mangap marekani kamfanyia Israeli ila hajatoa hata kauli kuhusu Ukraine wala China yaan kimya kama hayupo,ila akipata shida anamkimbilia marekani waarabu si watu ,mfano ni Osama,sadam ,gadaf,
Aisee, udini umekutawala mdau mpaka unashindwa kujieleza vizuri..........
 
Nimejaribu kufuatilia ,nikaja kujua tunamlaumu huyu rais ,huyu rais ndiye aliyemshawishi Putin akaruhusu ngano ikasafirishwa ,pia ndiye anayeelewana na Putin kuliko maraisi wengine wa nchi za NATO ,kiujumla mkakat wake ni kutaka kumshawishi Putin amalize hii vita wakae wayaweke sawa ,
Umeongea kweli mkuu, naona kuna humu kama wameshakumbwa na dhahama ya udini tayarii..
 
Back
Top Bottom