Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

Maagizo ya Yesu Kristu mwenyewe anasemaje kuhusu watu wasali vipi hayahapa .
 
Huzijui mamlaka zinatoa vibali vya ujenzi na kusimamia mipango miji na kuzuia ujenzi holela kwenye miji na majiji .
Magu alisha waambia tatizo la Tabora ni Majungu, kwa hela gani walizonazo na kanisa
ndio hilo la mabati, Hebu yamalizeni huko serikali za mitaa.
 
Magu alisha waambia tatizo la Tabora ni Majungu, kwa hela gani walizonazo na kanisa
ndio hilo la mabati, Hebu yamalizeni huko serikali za mitaa.
Tumia hata akili za mbuzi kuvukia barabara , kuna majungu gani hapa kwenye hii taarifa wewe mlokole uchwara .
 
Hivi jamaa kumbe ni mganga wa kienyeji..sasa mda wote anafuatilia kanisa , je anatibu watu mda gani?
 
Tumia hata akili za mbuzi kuvukia barabara , kuna majungu gani hapa kwenye hii taarifa wewe mlokole uchwara .
Kiongozi wa ukoo amepanga January tugawane mali za family, wale wanaoishi kweny nyumba za ukoo cjui wataenda kuishi wapi..Mungu atusaidie sana
 
Huzijui mamlaka zinatoa vibali vya ujenzi na kusimamia mipango miji na kuzuia ujenzi holela kwenye miji na majiji .
Hiv tuliskia wenye vyeti wanarudishwa kazin, kumbe wengine bado hawajarudi tu, hawa waotusumbua mtandaoni si wale waliotumbuliwa kwel, watafutie kazi ya kufanya waache kufuatilia maisha ya watu
 
We ni mganga wa kienyeji tumekugundua..kama matunguli yako hayafanyi kazi hama tu hapo tena tunajua unaishi kweny nyumba ya ukoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…