Katikati ni pazuriiii

Katikati ni pazuriiii

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Wasalaam kwenu,

Uzi huu ni maalumu kwenu wote wapenda vya juu sana.

Usiwe mrefu sana wala mfupi sanaa, uwe na kimo cha katikati.
Mke wa kuoa asiwe mbaya sana wala mzuri sana yaani awe mzuri wa wastani, yes katikati pale ya uzuri na ubaya.
Pia awe na msambwanda wa wastani.
Akupe vitu vya katikati muda wote utakao taka, hata muda wa mchana yes yaani katikati ya siku ni jambo jema kabisa.

Usipende utajiri sana kama kina Bahressa, wala usikubali umaskini uliokithiri. Kuwa mtu mwenye pesa za katikati.

Hata kazini kuwa na cheo cha katikati tu. Vyeo vikubwa ni pressure tupu hasa awamu hii ya 5, hukawii kutumbuliwa hata kama huna jipu.

Ukikuta warembo wawili wameketi, omba ukae katikati yao, mfahamiane na kama ni sehemu za baridi utapata joto kwa kukaa katikati.

Jamani katikati ni pazuuurrriiii!!!!
 
Hizi akili ni balaaaaaa
 
Hahaha kwani na ile nyimbo ilifungiwa?? Ile wanimbaga 'hapo kati patamu'?
 
Maelezo bila picha hayanogi weka picha mkuu tujue ni kati kati ya nini kwanza
 
Back
Top Bottom