The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Mkuu ni mwenge na sio mungu.Africa kuna ujinga wa kudumu, huo mungu ukitakiwa uwe makumbusho tu miaka 40 iliyopita.
Mwenge ni kama yule yesu tunamsubiri kwa hamu aje atuokoe, hata huo mwingi tunausubiri sana huku vijijini utuletee baraka na tuutanfikie barabarani na tuushangilie kwa furaha.
Uje tu.
Watu wamehamisha mji mkuu kutoka Dar kwenda Dodoma na kuongeza safari lukuki bila sababu, unafikiri ufanisi ni kipaumbele kwao?Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani?
Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?
Ni kweli mkuu, matumbo na familia zetu kwanza halafu mengine baadaeAfrica ukipata nafasi ya kuiba we iba tu, akili zenyewe ndio kama hizo, why mtu usiwe mwizi?
Kijiji gani mnausubiriMwenge ni kama yule yesu tunamsubiri kwa hamu aje atuokoe, hata huo mwingi tunausubiri sana huku vijijini utuletee baraka na tuutanfikie barabarani na tuushangilie kwa furaha.
Uje tu.
Kijiji cha namatumbi ndani ndani, tuna mradi wa maji una miaka 4 sasa tangu ukamilike tuliambiwa tusubiri mwenge uje uuzindue ndo tuanze kutumiaKijiji gani mnausubiri
A stitch in time saves nineIkiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani?
Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?
Despite all Tanzanians being taxed, our government isn't there to serve people, but to serve just a small group people who call themselves wanamtandao.Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani?
Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?