HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Watu wanajipigia mabilion kupitia hii takataka inayoitwa mwenge..... wanajifichia humo...upuuzi huu
 
Kutegemea CCM italeta nafuu kwenye maisha ya wanyonge ni sawa na kitafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.
 
Kukimbiza mwenge ni kichaka Cha kuhalalisha kulipana posho na marupurupu kibao. Posho ya ulinzi, posho ya mafuta, posho ya chakula, posho ya malazi, posho ya uhamasishaji n.k

Mtu anayetetea mwenge kwenye zama za sasa, ni mnufaika wa posho na marupurupu kutoka kwenye tozo na kodi wanazolipa wananchi.
 
Back
Top Bottom