Katikati ya Kipindi TANESCO Wanazima

Katikati ya Kipindi TANESCO Wanazima

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KATIKATI YA KIPINDI TANESCO WANAZIMA

Mahojiano yamepamba moto camera zina "roll," mara paa umeme umekatika.

Kiza totorooo...
Jicho la camera kama jicho la binadamu halioni kwenye kiza.

Mfikirie mtangazaji anatakakiwa kipindi kiwe hewani leo usiku.
Jua lishavuka mpaka sasa linaanza safari ya kuteremka.

Mfikirie mtangazaji mwenye kipindi nusu, kipindi hakijakamilika.
Picha hizo hapo chini nyeusi hazina mwanga.

Wala sisimami wala sionyeshi taharuki nazungumza kama vile hakuna kilichotokea.

Camera bado inanilenga.
Mtangazaji masikini hana raha, anahangaika.

Hizi ni changamoto za kazi.

Utamlaumu nani ilhali TANESCO wenyewe umeme ofisini kwao ukikatika wanawasha generator?

1716581639694.jpeg

TANESCO PLUS​
1716581372052.jpeg

MINUS TANESCO​
 
Back
Top Bottom