Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hili sio la kuwalaumu ni maboresho ya miundombinuIla msimlaumu Russia kwa hili nalo
Then?who are you
Na huku chuga mmekata mkurugenzi, tatizo nini?Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini, toa taarifa kwenye ofisi iliyopo karibu nawe.
Njia ni moja mteja wetuNa huku chuga mmekata mkurugenzi, tatizo nini?
Basi saa 9 mrudishe kweli. Simu yangu inaisha charge nachat na mchumbaNjia ni moja mteja wetu
Tanesco tunaangaza maisha yako, utarejea muda tajwaBasi saa mrudishe kweli. Simu yangu inaisha charge nachat na mchumba
Huduma itarejea usiwe na shakaMambo tayari..tupo gizani
Bila kufanya matengenezo hali itakua mbaya zaidi, kuwa na uvumilivu ndugu mtejaMnazingua sana, wengine kazi zetu zinategemea huo umeme,, mpaka saiv nimelala, nitaamka saa nane,
Sa itakuwaje,Bila kufanya matengenezo hali itakua mbaya zaidi, kuwa na uvumilivu ndugu mteja
Nunua generator 😂Mnazingua sana, wengine kazi zetu zinategemea huo umeme,, mpaka saiv nimelala, nitaamka saa nane,
Mpaka saa 9Huduma itarejea usiwe na shaka
Mafundi wapo site, huduma itarejea usiwe na shakaSa itakuwaje,
NdioMpaka saa 9