Katles za nyama

Katles za nyama

haya mwaya! sad sad

Badala ya kutumia yai unaweza kukoroga ngano kidogo na maji na chumvi kidogoo...mchanganyiko uwe mzito kiasi then unachovya madonge ya viazi kwenye huu uji kisha unayachoma...!
 
Kuna mtu leo ameniambia kuhusu hiki chakula,ikabidi nije jamii forum ku search, mwanzo nilidhani ni egg chop
 
Back
Top Bottom