Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,709 Aug 4, 2014 #21 Swts said: haya mwaya! sad sad Click to expand... Badala ya kutumia yai unaweza kukoroga ngano kidogo na maji na chumvi kidogoo...mchanganyiko uwe mzito kiasi then unachovya madonge ya viazi kwenye huu uji kisha unayachoma...!
Swts said: haya mwaya! sad sad Click to expand... Badala ya kutumia yai unaweza kukoroga ngano kidogo na maji na chumvi kidogoo...mchanganyiko uwe mzito kiasi then unachovya madonge ya viazi kwenye huu uji kisha unayachoma...!
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Oct 23, 2022 #22 Kuna mtu leo ameniambia kuhusu hiki chakula,ikabidi nije jamii forum ku search, mwanzo nilidhani ni egg chop
Kuna mtu leo ameniambia kuhusu hiki chakula,ikabidi nije jamii forum ku search, mwanzo nilidhani ni egg chop