Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?


dawa ya moto ni moto,..mtafute mke wake nawe mtafune na uanze kumtext kama vip?...unaonaje hilo
 
kutoa mimba ni dhambi na mara nyingi watu wakienda kutoa mimba most of madokta wanawafanya madai wanalainisha njia ili vyuma viweze kupita...muulize vzr Dr alimfanya nini haiwezekani atoke amechoka mimba haijatolewa hahahhaha ni mtizamo tuu..jishauri na halmashauri yako ya kichwa je hiyo inaleta maana.
 
Hadithi itaendelea kesho,kalaleni watoto wazuri eh
 
mi nafikiri theatre huwa ina manesi na assistant na doc kwenye kila procedure au inakuwaje huko kwenu

Abortion ni criminal offence Tanzania. Ndio maana madaktari "wanatoka" kwa kuwalia hapo madada/wamama wengi....... Inafanyika kisiri, no nurses..... tena majumbani au ofc uchwara..........
 
Mwambie akampe tena...
 


Huu umeme umekua jalala, kila uchafu kutupiwa.... Kwanini huyo mpenzio ALIMPA namba ya simu? Au yeye ndo alimtafuta? Wanajuana? Umejuaje? Chunga sana mke/mpenzi anaekuambia fulani ananitaka.................
 

sasa kama walifikia hatua ya kupeana namba za simu.....hushtuki tu....?
 
mhh kila siku maajabu mapya.....bongo tambarare aisee!
 
sasa kama walifikia hatua ya kupeana namba za simu.....hushtuki tu....?
Preta utasababisha ugomvi kwenye familia za watu kumbe nikuta namba za simu za dokta nijue tayari kasha maliza kazi....
 
kwnza mmetenda zambi kubwa sana, bro hapo umetereza lazima zambi zikuludie maana mmeua
 
Sina imani na alivyotoka akiwa hoi na mimba haikutoka.......ulijaribu kuchek k...yake baada ya kufika hom?
 
Preta cku nilipoenda onana na uyo dokta kwanza nilim~trust kwa kuwa nilijua amesoma na anafutata Ethics za kazi yake, hivyo kwa kua cm yangu ilikua imekwisha charge nikase namba yake kwenye cm ya mamsup then nikamflash ndipo alipoipatia namba yak.
 
story nyengine{labda iwe ya uongo}huoni aibu kuilete humu?kama suala la kutoa mimba,mmmh najua hayo mambo yapo,ila usingeyaleta humu
 
Wazazi wako wangekuchoropoa ungali tumboni ingekuwa jambo bora sana...! Muuwaji mkubwa wewe.
 
1! Mtaalamu wa kutoa mimba!!! 2 enyi mshindwao kulea nileteeni mm vichanga niwasaidie na msivitoe
 
Mmetoa mimba.... imegoma mkatoa tena.....!
kinachofuata ni kutafuta mtoto mpaka kwa waganga wa kienyeji...
Don't do this guyz!
anyway kama malipo hamkumaliza mlipe tu kwenu sio ishu
 
huenda alianza kumdu na abortion ikafuata badae. muulize mamsapu akueleze picha nzima
 

Wewe ni mtu wa ajabu sana ndugu yangu. Mchumba kupata mimba haiwezi kamwe kuwa bahati mbaya bali ni jambo la kujivunia. Kwa ufupi umeshiriki kuua mtoto wako - kama kweli ni wako. Inawezekana huyo Daktari alishajua kuwa wewe hauko serious na ndiyo maana anataka. Mimi nakushauri kuwa kwa kuwa umekiri mwenyewe kuwa hujajiandaa kulea basi mwachie huyo daktari labda yeye yuko tayari kutia mimba na kulea mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…