Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

Nakuzidi kuanzia elimu, uwezo wa kufikiri, pesa, n.k. The fact kwamba unapata vocha za kuokoteza haimaanishi you’re anybody.
Hii comment ndo ime dhihirisha kabsa we ni mweupe kichwani , you don't deserve kujibiwa na mimi
 
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
Mimba yako ina uthibitisho wa kisheria?
 
H

HApo sheria inakubana mkuu

1. Endapo utaenda fungua kesi lazima mahakama ikuombe legal bond na mhusika kwa maana ya lazma unayemshitaki kwa kesi ya aina yako lazma awe mke wako kihalali kwa ushahidi wa cheti cha ndoa na mashahidi endapo mahakama itaamua hivyo

2. Lazima uiridhishie mahakama kuwa kipindi hicho chote ulikuwa karibu na mama mjamzito kihuduma kwa mama na kichanga hapa bills za hospital lazma zihusike mzee.

ukiweza thibitisha hayo na kama ulikuwa unahudumia mimba mwisho wa siku yakafanyika yaliyofanyika unaweza kutengeneza kesi ya madai na hii ni endapo kama miamala yote ulokuwa unamtumia ulikuwa unatuma kwa bank au mitandao ya siku.

Otherwise kama dada ni mjanja anaweza kwenda hosptal akayengeneza report kuwa mimba iliharibika kesi ikaishia hvyo
Kweli Matapeli wapo,mshikaji awe makini sana!!
 
UPDATES: Kwanza asanteni wote mliotoa mawazo yenu ya kujenga na kusaidia. Wale wapuuzi of course endeleeni kuwa wapuuzi. Baada ya negotiations za pande mbili na kwa ushauri wa wakali niliyemtafuta physically, nimeamua kutoipursue hii issue.
Yaani wwe kwa akili zako hata jambo hili lilikua la kupata wakili kweli!!??
 
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
Mkuu ina maana ulikuwa na mimba? Ilikuwaje ukapachikwa hadi akaitoa?
 
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
HAPO UNAISHI NA ISRAEL MTOA ROHO, SO AKILI KUMKICHWA.
 
Nani alikutoa hiyo mimba?
 
Back
Top Bottom