Katoa mimba zangu 2 ananijibu majibu mepesi nimekasirika sikutegemea

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,011
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili kidogo ingemtoa uhai..
nikamuuliza kwa umetoa akasema eti mimi na wewe hatukua na mpango wa kuzaa ni starehe tuu basi daah nimechoka sana.
 
kulikuwa na makubaliano akuzalie? au kashtuka angekuwa single mama mtarajiwa.
 
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili kidogo ingemtoa uhai..
nikamuuliza kwa umetoa akasema eti mimi na wewe hatukua na mpango wa kuzaa ni starehe tuu basi daah nimechoka sana.
kulikuwa na makubaliano akuzalie? au kashtuka angekuwa single mama mtarajiwa
 
Mwanamke anayetoa mimba yangu hata mimi anaweza kuniua.
 
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili kidogo ingemtoa uhai..
nikamuuliza kwa umetoa akasema eti mimi na wewe hatukua na mpango wa kuzaa ni starehe tuu basi daah nimechoka sana.
ndivyo walivyo. ndiyo wauwaji namba 1 duniani. wanaua watoto, wanaua waume zao ila kwa kujifanya innocent.
 
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili kidogo ingemtoa uhai..
nikamuuliza kwa umetoa akasema eti mimi na wewe hatukua na mpango wa kuzaa ni starehe tuu basi daah nimechoka sana.
Ukiona hivyo hukuwa na hela.
 
Amekupima ameona haufit
Sasa cha kufanya ni kushenyentana tu
Tafuta mwanamke anayekufaa
 
Aisee kuna demu nilikua nae kwenye mahusiano niliwekeza kwake kumbe mwenzangu yeye lengo lake ni kunyeteshana tuu hana mpango mwingine amekiri mwenyewe kuwa ametoa mimba zangu 2 na ya pili kidogo ingemtoa uhai..
nikamuuliza kwa umetoa akasema eti mimi na wewe hatukua na mpango wa kuzaa ni starehe tuu basi daah nimechoka sana.
Pitia contract yenu, lazima itakuwa na mapungufu ya kisheria, yeye yuko sahihi, jaribuni ku revise huo mkataba wenu
 
Back
Top Bottom