Katoro, Geita bado haijatendewa haki

Mhoji kitu gani? Kwanza hakuna aliyezuia watu kuhoji. Na hamkuhoji kwa sababu hamkua na hoja.

Sasa basi leteni hoja zenu
kwanini unahisi kwamba hatukua na hoja wakati huo, ila wewe una hoja sasa?
 
Marehemu kajenga ndani ya hiki kijiji soko kubwa lenye hadhi ya soko la wilaya/mkoa. Pia kuna maduka makubwa mawili ya uuzaji wa dhahabu. Niafikiri kwa sifa hizi inafaa iwe angalau halmashauri ya mji ila watatue kwanza ubinafsi wao. Wakubali Katoro iwe mji mmoja na utangukie either Geita ama chato tofauti na sasa ambapo wamegawana katikakati [emoji23]
 
hoja zenu hua zinachekesha sana.
 
Kimsingi kuwa na Soko na maduka hiyo ni hadhi ya kijiji. Yaani kuwa mji maana yake Kuu ni kwamba wakazi wake wanategemea biashara kama chanzo kikuu cha kipato na mapato ya Serikali hapo yawe yanategemea biashara
 

Sijuhi shida ni nini lkn kuna yafuatayo pale:-
1. Buseresere na Katoro ni mji mmoja ulounganika lkn katika wilaya 2 tofauti
2. Maeneo mengi ya miji hii ni squatter
3. Utashi wa kisiasa
 
Sahihi kabisa. Hiili pia bado ni tatizo, wilaya mbili ndani ya mji mmoja.
 
Unaleta mambo ya mwendazake hayo mdogo wangu
Usukumani tu ndo mnataka pawe kitovu cha nchi hcho bado ni Kijiji tu
 
Katoro panakuzwa tu,bado ni kijijini tu.Kwa wenzangu wazawa wa Dar,katoro kibiashara na kiuwekezaji ni robo ya Manzese,na huo ndio ukweli,barabara ya lami ni moja tu,maji,umeme wa uhakika ni stori za kusadikika,uhakika huo kwenye huduma hizo haupo.
 
Katoro imefanyiwa sana figisu na mwendazake

RIP mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…