K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Nilipita hapo Katoro sikuamini ukubwa wa Kijiji kile. Nilishangaa zaidi baada ya kuona maabasi ya abiria yanatoka Katoro moja kwa moja mpaka Dar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peramiyo hakika ina stahili kuwa hata mjin mdogoHaya tumewasikia na sisi huku peramiho tunaomba serikali iwe wilaya inayojitegemea maana tuna kila kitu Zaid ya wilaya nyingne hapa Tanzania
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
HatarWakitoka hapo watataka Katoro iwe mkoa. Kama mwendazake alivyofanya. Same pattern...
Umeanza kuchochoratulikua tunazungumzia mambo ya kiuchumi na sio ya kijamii.
sote watanzania bhana, mlichobarikiwa huku ni wadada wazuri, mtori,ndizi nyama na nyama chomaUmeanza kuchochora
Katoro ni mamlaka ya mji mdogo.
inaundwa na kata tatu za Katoro, Ludete na nyamigota.
Katoro inakuzwa sana tofauti na uhalisia.
watu Wa katoro wengi wanaishi kwenye makazi duni.
nyumba nyingi zina umbo la L
Malaya wanapatika kila bar, bei zao ni elekezi tu 3000 kwenda juu. wanaojipanga wapo near zakaria guest karibu na wanapopaki mabasi ya dar.
katoro pakishamba sana, bila ushirikina biashara utafunga.
katoro kuna nyomi ya watu sana.
napajua vzr katoro, nimeendesha bodaboda kwa miaka 7 na egesho langu lilikuwa pale CCM.
masuali yoyote karibu, nitakujibu vzr....
Unayoijua wewe na kuiota kila siku Bukoba angalau ifanane hata nusu na MoshiMoshi gani hiyo iwe jiji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moshi ni kimji kidogo sana.Unayoijua wewe na kuiota kila siku Bukoba angalau ifanane hata nusu na Moshi
Unateseka ukiwa wapi, Katoro au Misenyi?hawa jamaa wakikusimulia moshi ilivyo unaweza sema wanazungumzia NY ndani ya tz.
Ulituwakilisha vyema sana,ukirudi tena tafuna mwingine tena kuanzia mama hadi mtoto.Kuna kipindi nilifanya field hapo kama mwezi mmoja nikafanikiwa kugonga mke wa Mwalimu mmoja pamoja na wifi yake (yaani mdogo wa mwalimu). Nitarudi Katoro
Duuh..huu ushauri soon tutampoteza jamaa.Ulituwakilisha vyema sana,ukirudi tena tafuna mwingine tena kuanzia mama hadi mtoto.