M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Sante wanguMkuu pole, mpe pole mjomba pia. Wataalamu watafika
Kabla ya kwenda nimeona niwashirikishe kwa kuamini msaada wa wachangiaji utasaidia piaPole sana ila ni vema kusogea hospitali kubwa kidogo uonane na mtaalamu wa magonjwa ya ngozi.
Inategemea ni mda gani mtaalamu wa hii kitu 《dermatologist》Kabla ya kwenda nimeona niwashirikishe kwa kuamini msaada wa wachangiaji utasaidia pia
Nimekupata mkuuInategemea ni mda gani mtaalamu wa hii kitu 《dermatologist》
Atakuwa humu JF kama jibu likichelewa basi tumia Option B nimekupatia
AsanteKaka chuma majani ya mpera chemsha. Fanya maji yake ya kuogea kila akikoga. Mola atamsaidia apone. Ni dawa nzuri sana
Dah!Jaribu kumpima usiogope hata kama wazazi wake wote wapo Salama
Kama uko karibu na hsp kubwa jaribu kumpeleka kwa dokta wa ngoziPole sana ndg...hata mm mtoto wangu ana vipele sawa kabisa na hivyo amekunywa dawa mbalimbali za hosptl haponi,ila kuna tube tulipewa inaitwa Safi cream ndio inamsalidia kwa sasa.Tatizo la hii tube ni kwamba ukimpaka vipele vinaisha,usipompaka baada ya siku mbili vinarudi sasa imebidi tuifanye kama ndio mafuta yake na tunampaka usiku tu.ingawa sipendi matumizi ya cream kwa muda mrefu lkn sina jinsi.nami nasubiri tiba ya kumponya kbs hapa.