M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Habari wana JF
Kama nilivyoanza mwanangu anaumwa ugonjwa wa ngozi ni mwezi sasa.
Mwanzoni alianza kwa kujikuna kadri siku zilivyozidi kusonga ngozi ilikuwa inabadirika kutokana na kujikuna nikampeleka hospital nikaandikiwa dawa sindano nne hakupata nafuu,nikarudi nikapewa vidonge na nyingine ya kupaka lakini naona hakuna nafuu yoyote.
Huku nilipo inyonga katavi hata dokta wa ngozi sioni kama yupo.
Msaada plz!
Na hizo dawa kwenye cheti ndizo alizotumia