Jaribu kwenda kwenye hospital kubwa nakushauri jaribu kwenda Bugando pale unaweza pata daktari nzuri,kuna bro alikua na matatizo kwenye ngozi full maupele yenye usaha hospital zingine alienda anaambiwa hakuna tatizo wakati hali yake ni mbaya akaamua kwenda bugando na kuhudhuria clinic kwa miezi kadhaa now yuko poa sana