Katoto Kazuri kanajibu

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Mimi ninamajukumu yamenibana.
Baadhi yenu mmenimisi mpaka na uzi umetolewa kuhusu nimeenda wapi.
1. Masaa yakuandika upupu siku hizi hakuna hapa tu nimepata kaupenyo.
2.humu wamezidi utoto hata ukiwa unatania au unajifurahisha maneno ya kipuuzi na yakuumiza unapewa wewe.
3.mtu anastress zake humu ni upupu na sumu anatoa chafu kwangu.
4.Humu hata ufanyaje unapewa maneno ya madharau dharau hadi na choka eti.
5.Watu wamekuwa wanataka ukwazike ukose amani kisa huu mtandao jueni niliingia mwenyewe na nimetoka mwenyewe siku hizi mimi ni msomaji nakulike tu .
Au ikibidi na comment kidogo.
Basii.
Katoto amemaliza nawatakia usomaji mzuri na kupost kwema kwenyw majukwa mbali mbali .
Nawatakia siku njema.
Nawashukuru kwa aliyenikumbuka .
 
njo uwaseme ukiwa umelala kifuani kwangu na machozi yako yakinimwagikia.
 
Kumbe unachukulia serious issue za humu?
 
Katoto kako mbwi!!! Kako mbwimbwi!!
Nyuma ndi!! Yani ndindindi!!
 
Dah! Hongera sana.
Najua utakuwa busy na masomo. Zingatia hayo na Mungu usimsahau pia.
 
Katoto kazuri nimemisi madini yako.
 
💪katoto kazuri
 
Bora ubaki huko huko, ulikuwa unatuhaibisha watu wa chuga na pumba zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…