Katoto Kazuri kanajibu

Katoto Kazuri kanajibu

Kiukweli mimi ni miongoni mwa criticizers wako na mara nyingi hua naandika hivi.


"Watu wengine huandika nyuzi zao kama vile wapo kwenye heat wakitaka kutembezewa moto wanaruka ruka"

Kwa namna yoyote ile niliyokukera naomba unisamehe. Samahani katoto kazuri.
 
Ukiendekeza vamiavamia na uropokaji wa humu kila siku utakua na mawazo,wazoee tu katoto
 
Mimi ninamajukumu yamenibana.
Baadhi yenu mmenimisi mpaka na uzi umetolewa kuhusu nimeenda wapi.
1. Masaa yakuandika upupu siku hizi hakuna hapa tu nimepata kaupenyo.
2.humu wamezidi utoto hata ukiwa unatania au unajifurahisha maneno ya kipuuzi na yakuumiza unapewa wewe.
3.mtu anastress zake humu ni upupu na sumu anatoa chafu kwangu.
4.Humu hata ufanyaje unapewa maneno ya madharau dharau hadi na choka eti.
5.Watu wamekuwa wanataka ukwazike ukose amani kisa huu mtandao jueni niliingia mwenyewe na nimetoka mwenyewe siku hizi mimi ni msomaji nakulike tu .
Au ikibidi na comment kidogo.
Basii.
Katoto amemaliza nawatakia usomaji mzuri na kupost kwema kwenyw majukwa mbali mbali .
Nawatakia siku njema.
Nawashukuru kwa aliyenikumbuka .
utafahamu lini kuandika bibie?
 
Back
Top Bottom