Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,700 Reaction score 9,570 May 21, 2025 #1 Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi. Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua. No reform no election.
Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi. Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua. No reform no election.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 May 21, 2025 #2 No reforms no Election
B-2 STEALTH BOMBER JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 4,640 Reaction score 6,422 May 21, 2025 #3 No reforms no election sitii wino wenye dhambi na damu za watanganyika kwenye mwili wangu
JET SALLI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,995 Reaction score 2,047 May 21, 2025 #4 Adverse Effect said: Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi. Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua. No reform no election. Click to expand... Mwaka huu hatukubali ni no reforms no election basi kazi inaishia hapo kama ni usanii sasa ufike mwisho.
Adverse Effect said: Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi. Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua. No reform no election. Click to expand... Mwaka huu hatukubali ni no reforms no election basi kazi inaishia hapo kama ni usanii sasa ufike mwisho.