Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Tatizo la kufuta katiba ili akili ndogo itawale akili kubwa.Mhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice. Mimi nimefundishwa critical thinking. Sheria unafundishwaje multipe choice? Ndio maana unakuwa mjinga.
Itakuwa we ndio kilazaKwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Umeishia darasa la ngapiItakuwa we ndio kilaza
7CUmeishia darasa la ngapi
Ndo maana Hadi mambo madogo unayoona makubwa
Msamehe. Lissu ni Mgonjwa kama Namilison!Kwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Wewe ni kilaza wa Mama Samia !Unatumia makalio kufikiriaKwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Kama unakata mauno hivi lazima uwe kilaza😆😆😁Kwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Kama kweli amejibu hivi ni makosa. Majibu kama haya yatafurahisha wafuasi wake lakini sidhani kama yanamsaidia katika utetezi wake.Mhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice.
Mimi nimefundishwa critical thinking.
Sheria unafundishwaje multipe choice?
Ndio maana unakuwa mjinga.
Shule aliyoanza na kumaliza lissu ni ya Sheria tu,ndiko alikojifunza kusoma,kuandika,kuhesabu na 'siasa/uraia'?Mhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice.
Mimi nimefundishwa critical thinking.
Sheria unafundishwaje multipe choice?
Ndio maana unakuwa mjinga.
Nilichoka Sana hiiMhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice.
Mimi nimefundishwa critical thinking.
Sheria unafundishwaje multipe choice?
Ndio maana unakuwa mjinga.
Swali lenyewe lilikuwa nje ya mada, wanasheria Wanajua uliuliza swali nje unajibiwa njeKama kweli amejibu hivi ni makosa. Majibu kama haya yatafurahisha wafuasi wake lakini sidhani kama yanamsaidia katika utetezi wake.
Mimi nadhani Kibatala ange handle better utetezi wake maana angekuwa laser focused kwenye kuonyesha mapungufu ya mashtaka.
Kibatala aliweza kuonyesha mapungufu ya mashtaka dhidi ya Mbowe bila kutumia mno lugha ya kebehi. Ujumbe anaotaka kupeleka ungeeleweka vizuri kama angeongozwa na wakili kama Kibatala.
I hope Mahakama itampa ushindi au DPP ataghairi kuendelea na kesi.
Amandla...
Kwani swali la multiple choice linakujajw kwenye Kesi ya uhainiMsamehe. Lissu ni Mgonjwa kama Namilison!
Sio hivyo Mahakamani. Ukijibu hivyo mtaani ni sawa lakini Mahakamani sivyo. Mahakamani unahitaji kuwa convince kuwa hoja zako ni bora kuliko aliyekushtaki. Na kuwa wewe ni more rational. Haustuki kwa nini anaachiwa kuongea kwa kirefu with minimal interruptions?Swali lenyewe lilikuwa nje ya mada, wanasheria Wanajua uliuliza swali nje unajibiwa nje