Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Kutetea uongo ni kazi ngumu mno....Yaani kwamba nawewe unajifanya mtaalamu eti "haustuki kwanini anaachiwa kuongea kwa kirefuu...." 🤣🤣🤣🤣Sio hivyo Mahakamani. Ukijibu hivyo mtaani ni sawa lakini Mahakamani sivyo. Mahakamani unahitaji kuwa convince kuwa hoja zako ni bora kuliko aliyekushtaki. Na kuwa wewe ni more rational. Haustuki kwa nini anaachiwa kuongea kwa kirefu with minimal interruptions?
Amandla...
Uongo upi? Fundi Mchundo nitakuwaje mtaalam wa sheria? Yale ni mawazo yangu na unakaribishwa kuyasahihisha.Kutetea uongo ni kazi ngumu mno....Yaani kwamba nawewe unajifanya mtaalamu eti "haustuki kwanini anaachiwa kuongea kwa kirefuu...." 🤣🤣🤣🤣
Kwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Unakuwa na reasoning kwenye kila jambo sio sheria tu peke yake ila sheria ni mojawapoKwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Unaonesha wewe ni kilaza mkubwa kwa masuala ya mahakamani.Kwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza
Labda wewe ndio umesoma mambo ya mahakamani kwa mara ya kwanza.Kama kweli amejibu hivi ni makosa. Majibu kama haya yatafurahisha wafuasi wake lakini sidhani kama yanamsaidia katika utetezi wake.
Mimi nadhani Kibatala ange handle better utetezi wake maana angekuwa laser focused kwenye kuonyesha mapungufu ya mashtaka.
Kibatala aliweza kuonyesha mapungufu ya mashtaka dhidi ya Mbowe bila kutumia mno lugha ya kebehi. Ujumbe anaotaka kupeleka ungeeleweka vizuri kama angeongozwa na wakili kama Kibatala.
I hope Mahakama itampa ushindi au DPP ataghairi kuendelea na kesi.
Amandla...
Kwa hiyo wewe unazidi hizo kanuni Mh Lissu? Unaumwa weweSio hivyo Mahakamani. Ukijibu hivyo mtaani ni sawa lakini Mahakamani sivyo. Mahakamani unahitaji kuwa convince kuwa hoja zako ni bora kuliko aliyekushtaki. Na kuwa wewe ni more rational. Haustuki kwa nini anaachiwa kuongea kwa kirefu with minimal interruptions?
Amandla...
Inawezekana kuwa nina umwa. Lakini angalau siko kwenye cult ambayo inaamini Lissu anajua kila kitu na hakosei. Uchawa ni kitu kibaya sana.Kwa hiyo wewe unazidi hizo kanuni Mh Lissu? Unaumwa wewe
Chai boysKama unakata mauno hivi lazima uwe kilaza😆😆😁
View attachment 3658357
Kwahyo mwanasheria Bora ni lazma awe mchambaj mzur naswahil mswahilUnaonesha wewe ni kilaza mkubwa kwa masuala ya mahakamani.
Jitahidi uwe unahudhuria upate mwanga wa namna wanasheria wanavyotumia maneno ya kuudhi lengo likiwa kumwondoa mpinzani wake kwenye 'reli'.
Wewe ndio kilaza pro maxKwahyo ukujibu hivi ndo unakua bingwa wa Sheria? Au mm ndo kilaza