Katuni Hii Inafikirisha Sana, ina Ujumbe Mzito

Daah kwa mara ya kwanza picha ya masoud imenioa tabu kutafsiri........sijaelewa aisee
 
Nyote hamjaelewa apo hii ni dongo kwenu upinzan kwamba nafas hamna magufuli ameziba kila pengo

Aah wapi! Wewe ndiye hujaelewa sasa...!
Mpiga mpira akipiga mgongoni (kilipoishia kiuno) mpira unakuwa umevuka mstari na linakuwa goli halali!
 
Pamoja na kujaa golini ila limeachia mwanya hapo nyuma maana mpira ukivuka tu huo mstari mweupe ni goli
 
Masood kawapiga dongo manyumbu na wenzao.
Kampeni za mwaka huu wapinzani mtakuja na sera ipi?
magufuli katekeleza sehemu kubwa ya visingizio vya kuombea kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…